DARULMAARIFA MOROGORO

Hawzat Abil-Fadhlil-Abbas(A.S) Morogoro-TANZANIA

  • HOME
  • HAWZAT
  • HISTORIA YA UISLAMU
  • KARIBU MADRASA
  • KIONGOZI

Monday, 28 March 2016

asalaam alaykum.wafuasi wa madhehebu ya ahlu libayt mkoani morogoro wakiwa wameungana na wenzao wakirsito katika kusafisha makaburi ya ndugu zao waliotangulia mbele ya haki.kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikh abuu hamza saidi kipanga aliwataka wafuasi wote wa madhehebu mbalimbali kushikamana na kuwa na umoja pasina kujari itikadi zao,nao viongozi wa kikirsito walimtaka kudumisha undugu pamoja nao kwani wote ni wana wa adamu na wametoa shukrani zao za dhati juu ya kiongozi huyo na wafuasi wake wote na kusema kuwa huu ndo uisilam wa haki kwani hauna ubaguzi wowote.

Posted by Unknown at 22:20 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Followers

HEKIMA ZA ALLY[AS]

HAMNA UTAJIRI KAMA KUWA NA AKILI[KUITUMIA AKILI IPASAVYO]NA HAMNA UFAKIRI KAMA KUWA MJINGA(ALLY A.S)

Popular Posts

  • IANDAE NAFSI YAKO...
  • usafi wa malazi walipo lala ndugu zetu waliotangulia ni jambo la msingi hususani sisi ambao bado tuko hai.
  • Assalamu Alaykum warahmatullahi taala Wabarakatuhu, ni jambo muhimu sana kumshukuru Allah Kulingana na nafasi aliyotupa ya kuitumikia Dini na Kuhakikisha Hawzat Abil-fadhlil-Abbas A.S Morogoro Tanzania imekuwa ni Moja ya Vinara vya Ahlul bayt A. S wadhulumiwa Katika Historia,Hawzat ikisimamiwa na Mudiru Sheikh Abuuhamza said imekuwa ni kisima cha Elimu kwa jamii inayotuzunguka na hata kwa watu wanaotoka nje ya Mkoa wa morogoro.
  • (no title)
    Mudiru wa Hawzat Imam Swadiq  (A.S) Sheikh Muhammad Abdu Akiwa anamzungumzia Mjukuu wa Mtume s.a.w.w Imam Hussein  (A.S)ambaye ktk Masiku...
  • KUELIMIKA KWA JAMII KUTATOKANA NA SUBRA ZA WALIMU KTK CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI.
    Jamii Yenye mabadiliko ni  Ile ilioweka mbele suala la Elimu.
  • Asalaam alaykum.Somo letu la leo ULUL AMR ni nani.waislamu wamegawanyika makundi mawili kuhusu maana ya "ulul amr"yaliyo tumika katika aya ya 59 ya surat nisai.wako wasemao kuwa maana ya maneno haya ni"watawala kutoka miongoni mwenu"yaani watawala wa kiislamu;na hii ndio tafsiri ifuatwayo na waislamu walio wengi yaani(masuni).wako wengine wasemao kuwa,maana ya maneno hayo ni "makhalifa(au maimamu maasumiin(watakatifu)walio teuliwa na allah kushika mahali pa mtukufu(s.a.w.w)baada ya yeye mtume kuondoka hii ndio tafsiri ifuatwayo na mashia ithna-ashariyah.allah anasema katika kitabu chake kitukufu"enyi mlio amini mtiini allah na mtiini rasuli(wake muhammad)na wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu(qur'ani 4:59):amirul muminiin ally bin abi talib(as)anasema yeyote yule amwasiye allah astiiwe.mfano tumchukulie kiongozi mmoja aliyekuwa khalifa wa waislamu yazidi bin muawiyyah yeye alikataa kabisa kumwamini mtukufu mtume (s.a.w.w).alionyesha wazi wazi imani yake katika shairi lake lisemalo:bani hashimu mtume (s.a.w.w)na ahlul-bayt wake walivumbua mbinu kujipatia milki.kwa hakika hakukuwepo na habari zozote zitokazo kwa mwenyezimungu wala ufunuo wowote.ikumbukwe kuwa huyu yazid ndo yule aliyefasiri ile aya kwamba ole wao wenye kuswali watajuta mnaona kwamba mtume (s.a.w.w)wamewaletea majuto basi msimfuate na alikuwa akiwavisha mbwa na ngedere mavazi ya viongozi wa kidini pia alikuwa mcheza kamari mnywa pombe na hakuwa na heshima kwa mwanamke yeyote na hata mahramu wake kama vile mama,shangazi,mama mdogo na mabinti zake hawa wote walikuwa sawa na wanawake wengine mbele yake.je?mtu kama huyu anafaa kutiiwa na tukisoma (Qur'ani 76:24) wala msimtii miongoni mwao mwenye dhambi.
  • UMUHIMU WA SENSA KATIKA JAMII
    Sensa  ni utaratibu wa kupata na kurekodi habari kuhusu idadi ya watu fulanifulani. Ni utaratibu wa mara kwa mara na hesabu rasmi ya idadi...
  • (no title)
  • Hawzat Abil-Fdhlil-Abbas(A.S)Morogoro
    Kituo hilo kinatoa elimu ya Dini ya kiislamu, lugha ya kiarabu, fiqhi,tareekh,usulu,mantwiq,sira,balagha,elimu ya hadithi, na hoja. Morog...
  • darsa ya ujue ushia ktk baadhi ya majaalis jijini dar es salaam
    AMESEMA AL IMAM ALMAHADY{AS}. yeyote miongoni mwa mafaqih  anayeweza kulinda nafsi yake,ambaye anaweza kuhifadhi dini yake, anayepigana na ...

About Me

Unknown
View my complete profile

HABARI ZA BLOG

  • December (1)
  • September (9)
  • August (1)
  • July (1)
  • August (1)
  • June (2)
  • May (2)
  • April (6)
  • March (1)
  • February (7)
  • January (7)
  • December (33)
  • November (3)
  • October (10)
  • September (70)
  • August (5)
  • May (17)
  • April (1)
  • March (1)
  • August (5)
  • April (1)
  • January (4)

Advertisement

Translate

TOTAL VIEWERS

@darulMaarifa All right Reserved. Simple theme. Powered by Blogger.