Monday, 28 March 2016
asalaam alaykum.wafuasi wa madhehebu ya ahlu libayt mkoani morogoro wakiwa wameungana na wenzao wakirsito katika kusafisha makaburi ya ndugu zao waliotangulia mbele ya haki.kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikh abuu hamza saidi kipanga aliwataka wafuasi wote wa madhehebu mbalimbali kushikamana na kuwa na umoja pasina kujari itikadi zao,nao viongozi wa kikirsito walimtaka kudumisha undugu pamoja nao kwani wote ni wana wa adamu na wametoa shukrani zao za dhati juu ya kiongozi huyo na wafuasi wake wote na kusema kuwa huu ndo uisilam wa haki kwani hauna ubaguzi wowote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment