Wednesday, 16 August 2017

Hawzat Abil-Fdhlil-Abbas(A.S)Morogoro

Kituo hilo kinatoa elimu ya Dini ya kiislamu, lugha ya kiarabu, fiqhi,tareekh,usulu,mantwiq,sira,balagha,elimu ya hadithi, na hoja. Morogoro mtaa wa manyuki, kwa mawasiliano piga namba 0659389037