Sunday, 5 April 2015

darsa ya ujue ushia ktk baadhi ya majaalis jijini dar es salaam

AMESEMA AL IMAM ALMAHADY{AS}.
yeyote miongoni mwa mafaqih  anayeweza kulinda nafsi yake,ambaye anaweza kuhifadhi dini yake, anayepigana na hawaa zake na akawa mtiifu kwenye amri za Bwana wake(ALLAH) basi huyo anafaa
kufuatwa.(sammaahat sheikh saidi othman akitoa darsa ya ujue ushia katika moja ya majaalisi jijini dar es salaam