Wednesday, 27 May 2015

HAWA NI WANAFUNZI WA HAWZAT ABIL FADHLIL-ABBAS A.S,PAMOJA NA WALIMU WAO MOROGORO KIHONDA.

Amesema imam w nane IMAM RIDWA A.S LAITI NI KIMUONA KIJANAA YEYOTE YULE HAFANYI JITIHADA ZOZOTE KATIKA KUTAFUTA ELIMU YA DINI YKE BASI NITAMPIGA KWA FIMBO YANGU HII....ni wajibu wa vijana kujiingiza moja kwa moj katika jihadi y kutafut elimu hususani tk kipindi hiki ch utamduni wa ulaya.

Tuesday, 26 May 2015

walimu wa hawzat abil fadhlil-abbass as morogoro

ULIMWENGU TUNAOISHI UNAHITAJIA MABADILIKO,,,NA MABADILIKO MUHIMU NA YANAYOHITAJIKA NI MTU KUTOKA HATUA MOJA KWENDA NYENGINE KUIHUSU NAFSI YAKE.


sammahat sheikh saidi Othman akitoa darsa ktk mazazi ya al imamu alhassan as.ktk kituo cha mayatima mjini morogoro,,,aalihusia watu kupata muda wa kujitenga ili kuwasiliana na mwenyezi mungu sawa.
 
SHEIKH SHABIR HAJI AKIWA KTK ZOEZI LA UPANDAJI WA MTI WA ABC DAY.
SHEIKH SWAHIB ZUBERI KISOMA QUR,AN KTK MAJLIS YA BIBI ZAINABU.
MAJLIS YA BIBI ZAINABU(A.S)MOROGORO.

 

ASSALAMU ALAYKUM NATUMAI WOTE MMEAMKA SALAMA



MAULANA SHEIKH HEMED JALALA NA JOPO LA MASHEIKH KTK UFUNGUZI WA HAWZAT ABIL FADHLIL ABBASS(A.S) MOROGORO.