Saturday, 1 August 2015

wosia wa maulamaa(RH)

AYATULLAH BAHJAT(RH)ALIULIZWA.ni jambo gani limewafikisha ktk hakika ya imani kiasi hiki??!!akajibu kwa kusema.tumetafuta sana dhikiri ya kumfikia mwenyeezi mungu.lakini hatujapata ila.ni kumsalia mtume muhamad saww.kwa wingii
TAWFEEQ.
-tawfeeq ni bahati ya mtu yyete yule alioamua kujipendekeza kwa mungu(swt) kwajili ya kufikia uhakika,,,,ktk tawfeeq mtu anaeweza kua nayo ktk kufunga,kusali usiku,ktoa sadaka na zingine nyingi huyo mtu tutamuita amepatamtawfeeq ktk jambo flan la kheyr.

program ya kushindanisha vijana kusoma dua na mawadha mbalimbali ktka hawzat abil fadhlil abbas as morogoro

moja ya kufanya jamii iende mbele niku jenga kizazi chenye maarifa ya hali ya juu ktk elimu ya dini.


SAMMAHAT SH HRMEDI JALALA AKIHOJIWA NA BAADHI YA WAANFISHI WA HABARI,,,,KTK SIKU YA QUDSI DAY...,,,,,