DARULMAARIFA MOROGORO

Hawzat Abil-Fadhlil-Abbas(A.S) Morogoro-TANZANIA

  • HOME
  • HAWZAT
  • HISTORIA YA UISLAMU
  • KARIBU MADRASA
  • KIONGOZI

Wednesday, 22 June 2016

majilisi ya mjukuu wa mtume imamu hassan iliyofanyika jana katika kituo cha kulea watoto yatima darul muselemeen

Posted by Unknown at 01:27 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Sunday, 5 June 2016

inna lillah wa inna illah rajiuna mama mzazi wa mwanaharakati wa hawzat abilil fadhilil abbas(as) mkoani morogoro sheikh jumanne manyuki alitutoka jana jumamosi mchana hapa tukiwa katika kumsitiri uko kijijini kinole.

Posted by Unknown at 20:52 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Followers

HEKIMA ZA ALLY[AS]

HAMNA UTAJIRI KAMA KUWA NA AKILI[KUITUMIA AKILI IPASAVYO]NA HAMNA UFAKIRI KAMA KUWA MJINGA(ALLY A.S)

Popular Posts

  • IANDAE NAFSI YAKO...
  • usafi wa malazi walipo lala ndugu zetu waliotangulia ni jambo la msingi hususani sisi ambao bado tuko hai.
  • (no title)
    Mudiru wa Hawzat Imam Swadiq  (A.S) Sheikh Muhammad Abdu Akiwa anamzungumzia Mjukuu wa Mtume s.a.w.w Imam Hussein  (A.S)ambaye ktk Masiku...
  • Assalamu Alaykum warahmatullahi taala Wabarakatuhu, ni jambo muhimu sana kumshukuru Allah Kulingana na nafasi aliyotupa ya kuitumikia Dini na Kuhakikisha Hawzat Abil-fadhlil-Abbas A.S Morogoro Tanzania imekuwa ni Moja ya Vinara vya Ahlul bayt A. S wadhulumiwa Katika Historia,Hawzat ikisimamiwa na Mudiru Sheikh Abuuhamza said imekuwa ni kisima cha Elimu kwa jamii inayotuzunguka na hata kwa watu wanaotoka nje ya Mkoa wa morogoro.
  • KUIPIGANIA HAKI NI JUKUMU LAKILA MTU KOKOTE ALIPO,NA NAFASI ALIYONAYO.
  • Hawzat Abil-Fdhlil-Abbas(A.S)Morogoro
    Kituo hilo kinatoa elimu ya Dini ya kiislamu, lugha ya kiarabu, fiqhi,tareekh,usulu,mantwiq,sira,balagha,elimu ya hadithi, na hoja. Morog...
  • darsa ya ujue ushia ktk baadhi ya majaalis jijini dar es salaam
    AMESEMA AL IMAM ALMAHADY{AS}. yeyote miongoni mwa mafaqih  anayeweza kulinda nafsi yake,ambaye anaweza kuhifadhi dini yake, anayepigana na ...
  • asalaam alaykum.wafuasi wa madhehebu ya ahlu libayt mkoani morogoro wakiwa wameungana na wenzao wakirsito katika kusafisha makaburi ya ndugu zao waliotangulia mbele ya haki.kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikh abuu hamza saidi kipanga aliwataka wafuasi wote wa madhehebu mbalimbali kushikamana na kuwa na umoja pasina kujari itikadi zao,nao viongozi wa kikirsito walimtaka kudumisha undugu pamoja nao kwani wote ni wana wa adamu na wametoa shukrani zao za dhati juu ya kiongozi huyo na wafuasi wake wote na kusema kuwa huu ndo uisilam wa haki kwani hauna ubaguzi wowote.
  • (no title)
  • Je unaelewa jinsi uchaguzi wa Marekani unavyoendeshwa ?
    Image copyright na Image caption Mwongozo wa kumteua muaniaji urais nchini Marekani Mwongozo wa kumteua muaniaji urais nchini Marekani M...

About Me

Unknown
View my complete profile

HABARI ZA BLOG

  • December (1)
  • September (9)
  • August (1)
  • July (1)
  • August (1)
  • June (2)
  • May (2)
  • April (6)
  • March (1)
  • February (7)
  • January (7)
  • December (33)
  • November (3)
  • October (10)
  • September (70)
  • August (5)
  • May (17)
  • April (1)
  • March (1)
  • August (5)
  • April (1)
  • January (4)

Advertisement

Translate

TOTAL VIEWERS

@darulMaarifa All right Reserved. Simple theme. Powered by Blogger.