Maulid ya mtume s. a. w. w kanga.
Wednesday, 5 December 2018
Saturday, 16 September 2017
Thursday, 14 September 2017
Saturday, 2 September 2017
Swala ya Iddy iliosaliwa Jana hawzat Abil-Fadhlil Abbas (A. S).
Ilihudhuriwa na waislamu kutoka maeneo tofauti tofauti, na khatibu wetu Alikuwa Naibu mushriful-Am Sheikh Idrisa zuberi
Wednesday, 16 August 2017
Sunday, 16 July 2017
Wednesday, 31 August 2016
Wednesday, 22 June 2016
Sunday, 5 June 2016
Saturday, 28 May 2016
wanafunzi pamoja na wanaharakati wa hawzat abil fadhil abbasz(as)morogoro wakiwa katika shughuli za kijamii wakiwa katika kusawazisha kifusi ili maji yasiingie kanisani kwani nayo ni miongoni mwa nyumba za mwenyezimungu pamoja na kusawazisha kifusi kwenye daraja ili vyombo vya usafiri vipite bila tabu yoyote.mungu awabariki.
Saturday, 21 May 2016
Saturday, 9 April 2016
kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikhe abuu hamza saidi akiwa ameungana na wenzetu wakiristo katika mazishi ya ndugu yetu mkiristo aliyetutoka,mungu ametoa mungu ametwaa,kiongozi huyo amewataka wanafamilia pamoja na ndugu na watu wote kwa ujumla kuwa na subira katika kipindi hichi kigumu cha msiba,na amesisitiza umoja,upendo,huruma ni vitu vya kudumisha katika maisha yote ya mwanadamu anayoishi hapa duniani.
Monday, 4 April 2016
Friday, 1 April 2016
Monday, 28 March 2016
asalaam alaykum.wafuasi wa madhehebu ya ahlu libayt mkoani morogoro wakiwa wameungana na wenzao wakirsito katika kusafisha makaburi ya ndugu zao waliotangulia mbele ya haki.kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikh abuu hamza saidi kipanga aliwataka wafuasi wote wa madhehebu mbalimbali kushikamana na kuwa na umoja pasina kujari itikadi zao,nao viongozi wa kikirsito walimtaka kudumisha undugu pamoja nao kwani wote ni wana wa adamu na wametoa shukrani zao za dhati juu ya kiongozi huyo na wafuasi wake wote na kusema kuwa huu ndo uisilam wa haki kwani hauna ubaguzi wowote.
Subscribe to:
Posts (Atom)