Saturday, 9 April 2016

kiongozi mkuu wa mashia mkoani morogoro kwa upande wa waafrika sheikhe abuu hamza saidi akiwa ameungana na wenzetu wakiristo katika mazishi ya ndugu yetu mkiristo aliyetutoka,mungu ametoa mungu ametwaa,kiongozi huyo amewataka wanafamilia pamoja na ndugu na watu wote kwa ujumla kuwa na subira katika kipindi hichi kigumu cha msiba,na amesisitiza umoja,upendo,huruma ni vitu vya kudumisha katika maisha yote ya mwanadamu anayoishi hapa duniani.

No comments:

Post a Comment