asalaam alaykum.mwenyekiti wa vicoba endelevu mkoa wa morogoro pia ni sheikh mkuu wa mkoa wa morogoro kwa upande wa madhehebu ya shia sheikh abuu hamza said kipanga akiwa katika kikao cha mafunzo ya ujasilia mali kilichofanyika hapa morogoro kata ya lukobe mtaa wa manyuki leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment