Sheikh Abuu hamza saidy akihutubia waumini walio hudhuria katika katika sala ya iddi.iliyo swaliwa masjid.al-imam(as) ridhwa morogoro
she abuu hamza saidy akihutubia umma ulio hudhuria ktk swala ya iddy el-fitir ilio swaliwa ktk Hawza abil fadhli abass(as)morogoro
maonesho ya watoto siku ya iddi el-fitir morogoro.
No comments:
Post a Comment