Wednesday, 30 September 2015

MAENDELEO YA KIROHO YANASISIWA NA MAPENZI YETU KWA MTUME S.A.W.KWASABABU KUPENDA NI SUALA LA MAUMBILE NA KILA UNACHOKIPENDA UKO TEYARI KUKITII,KWAHIYO ILI TUFIKIE KTK KUMTII MTUME S.A.W.W NI SHARTI TUMPENDE NA KIZAZI CHAKE.
UZALENDO NI MIONGONI WA SIFA MUHIMU KWA MWANADAMU,INACHOTAKIWA NI KUIPENDA MTU NCHI YAKE NIJAMBO MTUME AMELISISITIZA SANA.

Friday, 25 September 2015

Kufuatilia hali ya Siasa Nchini nijambo zuri jambo lakuchunga zaidi ni kuepukana na uvunjifu wa Amani kwa sababu ndo msingi wa kufaulu kwetu.

maamuzi mazuri ni kujitahidi kufutili sera za wagombea kisha kufanya maamuzi sahihi.

kufuatilia historia yoyote ile kunamjenga mfutiliaji kuwa mdadisi.

Zipambeni Nyumba zenu Kwakuisoma Qur'an Wala Msizifanye Kuwa Makaburi,hii ni kuonyesha umuhimu wa kuisoma Qur'an kwani tusipozingatia hilo nyumba zetu hazitatofautiana na Makaburi.

Thursday, 24 September 2015

KWAKWELI INABIDI TUZIDISHE DUA KWA NDUGU ZETU MAHUJAJI KWA MISIBA INAYOWAKUMBA.

MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE HIJJAH.

TUJIHIMIZE KATIKA KUSOMA DUA

KWANI DUA NI SILAHA YA MUUMINI 

DUA KUMAYL MADINATUL-MUNAWWARAT.


DARULMAARIFA MOROGORO: MICHEZO

DARULMAARIFA MOROGORO: MICHEZO: chelsea yakabidhiwa rasmi ubingwa EPL UNADHANI,,,EDEN HAZAD ATAKUWA MCHEZAJI BORA MSIMU UJAO NA KUNYAKUA TUZO YA ballon dor????

DARULMAARIFA MOROGORO: MICHEZO

DARULMAARIFA MOROGORO: MICHEZO: chelsea yakabidhiwa rasmi ubingwa EPL UNADHANI,,,EDEN HAZAD ATAKUWA MCHEZAJI BORA MSIMU UJAO NA KUNYAKUA TUZO YA ballon dor????

DARULMAARIFA MOROGORO: KIONGOZI

DARULMAARIFA MOROGORO: KIONGOZI

KUFIKISHA UJUMBE WA AHLUL-BAYT A.S. KUNA NJIA NYINGI IKIWEMO MAATAM AU QASWIDA

BAASIM KARBALAI WALLAHI SITAKUSAHAU EWE KARBALAA.
MAULANA SHEKH HEMED JALALA KATIKA SEMINA YA UJASIRIAMALI
SAYYID KAMAL HAYDARY AKIZUNGUMZIA MSIMAMO WA IBN TAYMIYAH
JUU YA KUMTUKANA IMAM ALLY A.S.

SWALA YA EID ILIYOSWALIWA LEO HAWZAT ABIL_FADHLIL-ABBAS A.S MOROGORO









MTUME MUHAMAD S.A W AMEUSIA YA KWAMBA KTK MKUSANYIKO WOWOTE ULE NI VIZURI KUWAKUMBUKA WAUMINI WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI KWA DUA

Tuesday, 22 September 2015

ASSALAM ALAYKA YAA ABAA ABDILLAH (A.S).


WATU WENGI WENYE KUTAMBUA THAMANI YA FAMILIA YA MTUME S.A.W.W HUSUSAN KWA BWANA WA VIJANA WA PEPONI,AMBAYE MTUME S.A.W.W AMESEMA HUSSEIN ANATOKANA NA MIMI NA MIMI 
NATOKANA NA MUNGU ANAMPENDA ANAYEMPENDA HUSSEIN,HUSSEIN 
NI MJUKUU KTK WAJUKUU ZANGU,HUWA HAWAACHI KUMKUMBUKA.

Mudiru wa Hawzat Imam Swadiq  (A.S) Sheikh Muhammad Abdu Akiwa anamzungumzia Mjukuu wa Mtume s.a.w.w Imam Hussein  (A.S)ambaye ktk Masiku haya ndo Anaanza Msafara wake wakutoka Madina kuelekea  Makka kisha kuishia Iraq Karbalaa alipoiaga Dunia kishahidi.
                                             
                                           
                                                       UMOJA KTK UBINADAMU

Hakuna Binadamu yeyote Aliye mkamilifu anayepinga au kuchukia suala la Umoja
Japokuwa ni suala lenye changamoto nyingi kwa sababu Jamii inayohitajia umoja
Haijafikia kutambua vitu Ambavyo ni Muhimili Katika Umoja,mambo yafuaatayo ni
Nguzo muhimu ktk umoja wowote Duniani,(1)Mambo Kijamii  (2)Uchumi  (3)Siasa  (4)Maswala ya Fikra.,..na hili mafanikio yake hupatikana endapo kutakuwa na mahusiano mema kati ya Taasisi Zinazo shughulikia Maswala hayo ya Umma,kwani
Jamii itakapofanana na kuendana au kukuwa ustawi wake Katika Nyaja yaKiuchumi
Kisiasa na  Hata Kifikra,itasaidia kutokuwepo matabaka ktk jamii,naUmoja utakuwepo,ukitizama mara nyingi kinachochangia Umoja kupotea ni mambo tuliyoyataja hapo juu,tukirudi ktk kuangalia Dini zote tutakuta wana siku maalumu ya Ibada ambayo hukusanyika watu wa matabaka yote bila kujali rangi wala kabila  hii inatuonyesha kuwa suala la kumuabudu muumba pamoja linatukumbusha maumbile yetu tuliyoumbiwa,tukimtizama Nabii Adam  (A.s)kwa mazingatio tutakuta hakuumbwa peke yake,huu ni ukumbusho kwa wenye kutafiti na kufikiri ni upi umuhimu wa umoja pasina kujali rangi Dini Au Kabila.

Sunday, 20 September 2015

MAULANA SHEIKH SAID OTHMAN KTK ZIARA YAKE MKOANI MOROGORO
AMBAPO ALIWEZA KUKUTANA NA WATU MBALI MBALI KUWEZA KUWAELEZEA
NI NAMNA WANATAKIWA WAANZE MAANDALIZI YA KUJIJILEA KIROHO ILI KUFIKIA HATUA YAKUWEZA KUJIKOSOA NA KUUFIKIA UKAMILIFU WA KWELI.







TUNATAKIWA KUKITHIRISHA MAOMBI KULIOMBEA TAIFA LETU LA TANZANIA M,MUNGU ALIPE AMANI KIPINDI CHA UCHAGUZI NA BAADA YA UCHAGUZI KWA SABABU AMANI NI MSINGI MUHIMU KTK MAENDELEO YOYOTE DUNIANI NA HATA KESHO AKHERA.
Mazoezi yanahitajia juhudi za mtu binafsi.