Tuesday, 22 September 2015

                                             
                                           
                                                       UMOJA KTK UBINADAMU

Hakuna Binadamu yeyote Aliye mkamilifu anayepinga au kuchukia suala la Umoja
Japokuwa ni suala lenye changamoto nyingi kwa sababu Jamii inayohitajia umoja
Haijafikia kutambua vitu Ambavyo ni Muhimili Katika Umoja,mambo yafuaatayo ni
Nguzo muhimu ktk umoja wowote Duniani,(1)Mambo Kijamii  (2)Uchumi  (3)Siasa  (4)Maswala ya Fikra.,..na hili mafanikio yake hupatikana endapo kutakuwa na mahusiano mema kati ya Taasisi Zinazo shughulikia Maswala hayo ya Umma,kwani
Jamii itakapofanana na kuendana au kukuwa ustawi wake Katika Nyaja yaKiuchumi
Kisiasa na  Hata Kifikra,itasaidia kutokuwepo matabaka ktk jamii,naUmoja utakuwepo,ukitizama mara nyingi kinachochangia Umoja kupotea ni mambo tuliyoyataja hapo juu,tukirudi ktk kuangalia Dini zote tutakuta wana siku maalumu ya Ibada ambayo hukusanyika watu wa matabaka yote bila kujali rangi wala kabila  hii inatuonyesha kuwa suala la kumuabudu muumba pamoja linatukumbusha maumbile yetu tuliyoumbiwa,tukimtizama Nabii Adam  (A.s)kwa mazingatio tutakuta hakuumbwa peke yake,huu ni ukumbusho kwa wenye kutafiti na kufikiri ni upi umuhimu wa umoja pasina kujali rangi Dini Au Kabila.

No comments:

Post a Comment