Friday, 11 September 2015

KUFIKIA UHAKIKA WA UCHAMUNGU

sayyed ally akqaadh(kulia)akiwa na mwanafunzi wake aliobobea ktk maswala ya irfaani,sayyed al-haddad.mwenyezi mungu atwaharishe malazi yao...,,,wameusia ya kwamba njia moja wapo wa njia za kufikia uhakika wa uchaji mungu...ni kujiepusha na ,aneno yasio kuhusu,,na kudumu ktak utajo wa mungu pekee na visomo vya quran kwa kuhitimisha..kila baada ya siku tano!na kudumu kwa ustadh mmoja ktm mafunzo ya irfaan...

No comments:

Post a Comment