Tuesday, 29 December 2015

Assalamu Alaykum warahmatullahi taala Wabarakatuhu, ni jambo muhimu sana kumshukuru Allah Kulingana na nafasi aliyotupa ya kuitumikia Dini na Kuhakikisha Hawzat Abil-fadhlil-Abbas A.S Morogoro Tanzania imekuwa ni Moja ya Vinara vya Ahlul bayt A. S wadhulumiwa Katika Historia,Hawzat ikisimamiwa na Mudiru Sheikh Abuuhamza said imekuwa ni kisima cha Elimu kwa jamii inayotuzunguka na hata kwa watu wanaotoka nje ya Mkoa wa morogoro.







3 comments: