Wednesday, 9 December 2015

السلام عليك يا رسول الله Masiku haya yanayokuja nimasiku Adhimu kutokana na uzito wakuondokewa na kipenzi cha wanadamu bila kujali Rangi Dini Wala  kabila si mwingine bali ni huruma kwa walimwengu wote mkamilifu wa tabia njema hana mfanowe katika ulimwengu mkombozi wa wanyonge Bahari ya Uadilifu  Mji Wa Elimu Mlezi wa Wajane na mayatima Mtetezi mkuuu wa Haki za Binaadamu Si Mwingine Bali nimtume wetu S A W  W  mkombozi wa viumbe wote katika kila sehemu na kila zama,  tunatakiwa kuhuzunika tarehe 28 mwezi wa  swafar

No comments:

Post a Comment