Saturday, 26 December 2015

Sheikh mkuu wa waafrika katika mkoa wa morogoro kwa madhehebu ya Ahlul libayt (as)akiwa ameitikia mwaliko wa ndugu zetu wakiristo hapo jana katika kuadhimisha mazazi ya nabii issa ( as ),pia sheikh huyo ameeleza kwamba mshikamano,umoja,upendo,amani,kuhurumiana ni jambo muhimu sana katika maisha ya ubinadamu.kwani ndugu wameganyika sehemu kuu mbili ima awe ndugu yako katika dini au ndugu yako katika maumbile,kwani sote tunatoka kwa baba mmoja ambaye ni Adam (as). Pia tunachukua fursa hii kuwatakia watanzania wote maadhimisho mema ya mazazi ya nabii issa ( as ).

No comments:

Post a Comment