Saturday, 12 September 2015

Hawakudhalilika watu ila baada ya kudhoofika,nahawakudhoofika ila baada yakutengana, na hawakutengana ila baada yakujiweka mbalimbali, nahawakujiweka mbali mbali ila baada yakuhusudia na, na hawakuhusudiana ila mpaka kila mmoja kumuathiri mwingine.


No comments:

Post a Comment