Saturday, 12 September 2015

mama ni shule kumuelimisha mama kunatengeneza kizazi chenye maadili mema,matatizo tunayoyaona leo ya watoto kutokuwa kitu kimoja au kukosa maadili,ni natija yakutokuelimika mama.tujitahidi kuwasomesha mabinti zetu dini,ili kuandaa kinamama wa mustaqbali.

No comments:

Post a Comment