Tuesday, 22 December 2015

Matangazo Yaliyopita Jumanne, 22 Disemba 2015 18:55 Iran, mbeba bendera ya amani na vita dhidi ya ugaidi  Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mbeba bendera ya amani na ya kupambana na ugaidi. Rais Hassan Rouhani ameyasema hayo leo mbele ya wakuu, washauri na wafanyakazi wa Wizara ya Usalama wa Taifa. Amesema amani, utulivu na uthabiti uliopo nchini ni matunda ya juhudi na kujitolea mhanga kwa watu wenye uchungu wa nchi na akasisitiza juu ya ulazima wa kudumishwa umoja na kuendelezwa harakati ya kufikia malengo matukufu ya Mapinduzi ya Kiislamu. Rais Rouhani amesema, katika anga ya machafuko na ukosefu wa amani iliyopo katika eneo la Mashariki ya Kati, amani na usalama unaoshuhudiwa nchini Iran ni wa kupigiwa mfano. Huku akibainisha kuwa amani na utulivu uliopo nchini ni wa kujivunia duniani, na kwamba viongozi wa nchi nyingi wanalieleza hilo katika mazungumzio na viongozi wa Iran, Dakta Hassan Rouhani amesema kuna

No comments:

Post a Comment