Wednesday, 23 December 2015

Hiki ni kipindi cha kukithirisha Kumswalia Mtume S . A.W. W kutokana na Mazazi yake na kipindi hiki kiwe sababu ya Waislamu kuelewana na kupatana na kuweka pembeni hitilafu ndogo ndogo walizo nazo kwa kukusanywa mioyo yao na Mtume S. A.W. W.

No comments:

Post a Comment