Tuesday, 29 December 2015
Asalaam alaykum.Somo letu la leo ULUL AMR ni nani.waislamu wamegawanyika makundi mawili kuhusu maana ya "ulul amr"yaliyo tumika katika aya ya 59 ya surat nisai.wako wasemao kuwa maana ya maneno haya ni"watawala kutoka miongoni mwenu"yaani watawala wa kiislamu;na hii ndio tafsiri ifuatwayo na waislamu walio wengi yaani(masuni).wako wengine wasemao kuwa,maana ya maneno hayo ni "makhalifa(au maimamu maasumiin(watakatifu)walio teuliwa na allah kushika mahali pa mtukufu(s.a.w.w)baada ya yeye mtume kuondoka hii ndio tafsiri ifuatwayo na mashia ithna-ashariyah.allah anasema katika kitabu chake kitukufu"enyi mlio amini mtiini allah na mtiini rasuli(wake muhammad)na wale waliopewa mamlaka kutoka miongoni mwenu(qur'ani 4:59):amirul muminiin ally bin abi talib(as)anasema yeyote yule amwasiye allah astiiwe.mfano tumchukulie kiongozi mmoja aliyekuwa khalifa wa waislamu yazidi bin muawiyyah yeye alikataa kabisa kumwamini mtukufu mtume (s.a.w.w).alionyesha wazi wazi imani yake katika shairi lake lisemalo:bani hashimu mtume (s.a.w.w)na ahlul-bayt wake walivumbua mbinu kujipatia milki.kwa hakika hakukuwepo na habari zozote zitokazo kwa mwenyezimungu wala ufunuo wowote.ikumbukwe kuwa huyu yazid ndo yule aliyefasiri ile aya kwamba ole wao wenye kuswali watajuta mnaona kwamba mtume (s.a.w.w)wamewaletea majuto basi msimfuate na alikuwa akiwavisha mbwa na ngedere mavazi ya viongozi wa kidini pia alikuwa mcheza kamari mnywa pombe na hakuwa na heshima kwa mwanamke yeyote na hata mahramu wake kama vile mama,shangazi,mama mdogo na mabinti zake hawa wote walikuwa sawa na wanawake wengine mbele yake.je?mtu kama huyu anafaa kutiiwa na tukisoma (Qur'ani 76:24) wala msimtii miongoni mwao mwenye dhambi.
Assalamu Alaykum warahmatullahi taala Wabarakatuhu, ni jambo muhimu sana kumshukuru Allah Kulingana na nafasi aliyotupa ya kuitumikia Dini na Kuhakikisha Hawzat Abil-fadhlil-Abbas A.S Morogoro Tanzania imekuwa ni Moja ya Vinara vya Ahlul bayt A. S wadhulumiwa Katika Historia,Hawzat ikisimamiwa na Mudiru Sheikh Abuuhamza said imekuwa ni kisima cha Elimu kwa jamii inayotuzunguka na hata kwa watu wanaotoka nje ya Mkoa wa morogoro.
Sunday, 27 December 2015
UMUHIMU WA SENSA KATIKA JAMII
Sensa ni utaratibu wa kupata na kurekodi habari kuhusu idadi ya watu fulanifulani. Ni utaratibu wa mara kwa mara na hesabu rasmi ya idadi ya watu hao. [1] [2] Msamiati hutumiwa zaidi kuhusiana na idadi ya kitaifa na sensa ya mlango kwa mlango (kuchukuliwa kila miaka 10 kulingana na mapendekezo ya Umoja wa Mataifa), na ile ya kilimo na biashara. Msamiati huu umetoholewa kutoka lugha ya Kilatini: wakati wa Jamhuri ya Kirumisensa ilikuwa ni orodha iliyowekwa ili kufuatilia wanaume wenye uwezo wa kufaa kutoa huduma za kijeshi.
Sensa kulinganishwa na njia ya 0}sampuli ambapo habari zilizopatikana kutoka sehemu ndogo tu ya idadi ya watu, wakati mwingine kama Makisio ya Kisensa. Takwimu za sensa kwa kawaida hutumiwa kwa utafiti, biashara ya masoko, na mipango kama njia bora kwa msingi wa utafiti wa sampuli. Katika baadhi ya nchi, takwimu za sensa hutumiwa kwa kugawanya uwakilishi katika taifa (wakati mwingine kiutata - tazama mfano Utah v. Evans).
Inatambulika sana kwamba idadi ya watu na makazi ni muhimu kwa ajili ya mipango ya jamii yoyote. Njia za jadi za sensa, hata hivyo, zimekuwa ghali zaidi. Sheria muhimu kwa gharama ya sensa katika nchi zinazoendelea imekuwa dola 1 kwa mtu. Takwimu za msingi zaidi leo ni karibu dola 3. Makadirio haya sharti yachukuliwe kwa uangalifu sana ikizingatiwa kuwa idadi ya shughuli hutofautiana baina ya mataifa mbalimbali yanayojumuishwa (mfano mwanasensa anaweza kukodishwa ama akawa mfanyikazi wa umma). Gharama katika nchi zilizoendelea ni ya juu zaidi. Gharama kwa sensa ya 2000 nchini Marekani ilikadiriwa kuwa dola bilioni 4.5, zaidi ya dola 15 kwa mtu. Njia mbadala za kupata takwimu zingali zinachunguzwa. Nchi za Kinodi za Denmark, Finland na Norway zimekuwa zikitumia rejista za kiutawala kwa miaka kadhaa sasa. Sensa nusu na Sampuli zinatumika Ufaransa na Ujerumani.
Sensa na faragha[hariri | hariri chanzo]
Wakati sensa hutoa njia muhimu ya kupata taarifa za takwimu kuhusu idadi ya watu, habari hii wakati mwingine husababisha dhuluma, kisiasa au vinginevyo, ikiwezeshwa kwa kuunganisha utambulisho wa kibinafsi na takwimu za faragha. [3] Hii ni ya kutiliwa maanani hususan mtu binafsi anapotoa majibu kwa fomu ya vijiswali ya sensa, ingawaje hata habari za kiwastani zawezakupelekea kuvunja faragha wakati wanakadiria sehemu ndogo ya watu.
Kwa mfano, wakati wa kuarifu takwimu kutoka mji kubwa, huenda ikawa sahihi kutoa wastani wa kipato kwa wanaume weusi wenye umri kati ya 50 na 60. Hata hivyo, kufanya mji huu kwa kuwa tu una weusi wawili wanaume katika umri huu itakuwa ni uvunjaji wa faragha: aidha ya wale watu, kujua mapato yao wenyewe na kuripotiwa wastani, angeweza kukadiria mapato ya mtu mwingine.
Ni vyema kwa habari ya sensa kujadiliwa kwa njia ambayo itahifadhi faragha ya mtu binafsi. Baadhi ya sensa hufanya hivyo kwa kukusudia kuingeza makosa kwa takwimu ili kuzuia kitambulisho cha watu binafsi katika sehemu zenye wakazi wachache [2] wengine hubadili habari za wahusika na za wengine zinazofanana. Licha ya hatua zozote zinazochukuliwa kuhakiki faragha ya watu, teknolojia mpya katika mfumo wa elektroniki bora imeleta changamoto zaidi katika ulinzi wa habari nyeti binafsi.
Hariri: Ili kuchaguliwa ndani ya nyumba ya Wawakilishi na Sensa, sharti uwe na umri wa miaka 25, miaka 7 raia wa Marekani, na lazima kuishi katika eneo bunge unalogombea.
Sensa za kale[hariri | hariri chanzo]
Sensa za Misri inasemekana zilichukuliwa wakati wa utawala wa Farao kipindi cha 3340 KK na 3050 KK.
Mojawapo ya sensa za kumbukumbu zlichukuliwa mnamo 500-499 KK na majeshi ya Dola ya Kiajemi kwa ajili ya kutoa ruzuku ya ardhi, na madhumuni ya ushuru. [4]
Nchini India, sensa zilifanyika katika Dola ya Mauryan kama ilivyoelezewa na Chanakya kwenye (c. 350-283 KK) Arthashastra, ambayo ilishauri ukusanyaji wa takwimu za idadi ya watu kama hatua ya sera ya serikali kwa madhumuni ya ushuru. Ni ina maelezo ya mbinu za kufanya idadi ya watu, sensa ya uchumi na kilimo. [5]
Roma ilifanya sensa ili kuamua kodi (tazama Censor (Roma ya kale)). Neno 'sensa' asili yake ni Roma ya kale, linalotokana na neno la Kilatini 'censere', maana yake 'makisio'. Sensa ya Kirumi ilikuwa iliyoendelea zaidi kumbukumbu yoyote katika ulimwengu wa kale na ilikuwa na jukumu muhimu katika utawala wa Kirumi. Sensa ya Kirumi ulifanyika kila miaka mitano. Ilitoa rejista ya raia na mali zao ambayo majukumu yao na mapendeleo hivyo basi ikawezesha bahati zao kutajwa.
Sensa kongwe duniani inatoka Uchina wakati wa Utawala wa Han.[onesha uthibitisho] Kuchukuliwa machweo ya 2 BK, inachukuliwa na wasomi kuwa sahihi kabisa.[onesha uthibitisho]Wakati huo kulikuwa na watu milioni 59.6 walioishi Han (jimbo) Uchina, idadi kubwa zaidi ya watu duniani. [6] Sensa kongwe ya pili iliyohifadhiwa pia ilitoka Han, kutoka 140 AD, wakati watu kidogo tu zaidi ya milioni 48 walihesabiwa. Uhamiaji kwa wingi kuelekea kusini mwa Uchina kunaaminika kusababisha kushuka sana kwa hesabu hiyo.
Katika Zama, Wakalifate walianza kufanya sensa za mara kwa mara punde tu baada ya kutengezwa, kwa kuanza na ile iliyoamrishwa na Rashidun wa pili, Khalifa, Umar. [7]Sensa maarufu zaidi katika nyakati kongwe Ulaya ni Kitabu cha Domesday, zilizofanyika 1086 na William wa kwanza wa Uingereza ili aweze kodi vizuri nchi aliyokuwa ameshinda. Mwaka 1183, sensa ilichukuliwa ya Ufalme wa Yerusalemu, kujua idadi ya watu na kiasi cha fedha ambazo zingeweza kupatikana kupinga uvamizi wa Saladin, sultan wa Misri naSyria.
Njia ya kuvutia sana kurekodi habari za sensa ilitumika katika jimbo la Inka katika kanda ya Andinska kutoka karne ya 15 hadi Wahispania wakateka nchi yao. Wainka hawakuwa na lugha yoyote iliyoandikwa, lakini kumbukumbu zilizoandikwa habari zilizokusanywa wakati wa sensa habari nyingine za hesabu na vilevile takwimu zisizo za hesabu zilichukuliwa juu ya quipus, masharti kutoka llama au nywele au pamba alpaca kamba pamoja na maadili mengine yakiwekwa kwa mfumo wa ukumi.
Saturday, 26 December 2015
Sheikh mkuu wa waafrika katika mkoa wa morogoro kwa madhehebu ya Ahlul libayt (as)akiwa ameitikia mwaliko wa ndugu zetu wakiristo hapo jana katika kuadhimisha mazazi ya nabii issa ( as ),pia sheikh huyo ameeleza kwamba mshikamano,umoja,upendo,amani,kuhurumiana ni jambo muhimu sana katika maisha ya ubinadamu.kwani ndugu wameganyika sehemu kuu mbili ima awe ndugu yako katika dini au ndugu yako katika maumbile,kwani sote tunatoka kwa baba mmoja ambaye ni Adam (as). Pia tunachukua fursa hii kuwatakia watanzania wote maadhimisho mema ya mazazi ya nabii issa ( as ).
Friday, 25 December 2015
je?aliyeweka msingi wa jengo lake kwa kumcha mwenyezimungu,mungu na radhi yake ni bora au aliyeweka msingi wa jengo juu ya ukingo wa shimo linalomomonyoka,na likamomonyoka likaanguka pamoja naye katika katika moto wa jahannam?na mwenyezimungu hawaongozi watu madhalimu(9:109)quruan. Takwa ni dhana ya kiislamu ya kuwa na hali ya kujitawala au kujizuia.Neno hili limetumika mara 251 ndani ya quruan ama kama nomino au kitenzi.Neno takwa asili yake ni neno la kiarabu "wa-qa-ya" ambalo maana yake ni ulinzi au msaada.Ni muhimu kutambua kwamba takwa sio kutekeleza mambo ya faradhi ya kidini tu kama vile kuswali na kufunga saumu.Ni kuhusu kuishi maisha ya uchamungu pia kuishi maisha ya kujitenga na maisha ya kinyama na uovu bali kuishi maisha ya uadilifu.
Wednesday, 23 December 2015
Tujikinge kutokana na maradhi mabalaa kupitia surat Yasin
سورة يس
بسم الله الرحمن الرحيم
يس* وَالقُرآنِ الحَكيمِ* إنَّكَ لَمِنَ المُرسَلينَ* عَلَى صِرَاطٍ مُّستَقيمٍ* تَنزيلَ العَزيزِ الرَّحيمِ* لِتُنذِرَ قَوماً مَّا أُنذِرَ آبَاؤُهُم فَهُم غَافِلونَ* لَقَد حَقَّ القَولُ عَلَى أكثَرِهِم فَهُم لَا يُؤمِنونَ* إنَّا جَعَلنَا في أعنَاقِهِم أغلاَلاً فَهيَ إلَى الأذقَانِ فَهُم مُّقمَحونَ* وَجَعَلنَا مِن بَينِ أيديهِم سَدّاً وَمِن خَلفِهِم سَدّاً فَأغشَينَاهُم فَهُم لا يُبصِرونَ* وَسَوَاء عَلَيهِم أأنذَرتَهُم أم لَم تُنذِرهُم لا يُؤمِنونَ* إنَّمَا تُنذِرُ مَنِ اتَّبَعَ الذِّكرَ وَخَشيَ الرَّحمَن بِالغَيبِ فَبَشِّرهُ بِمَغفِرَةٍ وَأجرٍ كَريمٍ* إنَّا نَحنُ نُحيي المَوتَى وَنَكتُبُ مَا قَدَّموا وَآثَارَهُم وَكُلَّ شَيءٍ أحصَينَاهُ في إمَامٍ مُبينٍ* وَاضرِب لَهُم مَّثَلاً أصحَابَ القَريَةِ إذ جَاءهَا المُرسَلونَ* إذ أرسَلنَا إلَيهِمُ اثنَينِ فَكَذَّبوهُمَا فَعَزَّزنَا بِثَالِثٍ فَقَالوا إنَّا إلَيكُم مُّرسَلونَ* قَالوا مَا أنتُم إلا بَشَرٌ مِّثلُنَا وَمَا أنزَلَ الرَّحمن مِن شَيءٍ إن أنتُم إلا تَكذِبونَ* قَالوا رَبُّنَا يَعلَمُ إنَّا إلَيكُم لَمُرسَلونَ* وَمَا عَلَينَا إلا البَلاغُ المُبينُ* قَالوا إنَّا تَطَيَّرنَا بِكُم لَئِن لَّم تَنتَهوا لَنَرجُمَنَّكُم وَلَيَمَسَّنَّكُم مِّنَّا عَذَابٌ أليمٌ* قَالوا طَائِرُكُم مَعَكُم أئِن ذُكِّرتُم بَل أنتُم قَومٌ مُّسرِفونَ* وَجَاء مِن أقصَى المَدينَةِ رَجُلٌ يَسعَى قَالَ يا قَومِ اتَّبِعوا المُرسَلينَ* اتَّبِعوا مَن لا يَسألُكُم أجراً وَهُم مُّهتَدونَ* وَمَا لي لا أعبُدُ الَّذي فَطَرَني وَإلَيهِ تُرجَعونَ* أأتَّخِذُ مِن دونِهِ آلِهَةً إن يُرِدنِ الرَّحمَن بِضُرٍّ لا تُغنِ عَنّي شَفَاعَتُهُم شَيئاً وَلا يُنقِذونِ* إنّي إذاً لَّفي ضَلالٍ مُّبينٍ* إنّي آمَنتُ بِرَبِّكُم فَاسمَعونِ* قيلَ ادخُلِ الجَنَّةَ قَالَ يا لَيتَ قَومي يَعلَمونَ* بِمَا غَفَرَ لي رَبّي وَجَعَلَني مِنَ المُكرَمينَ* وَمَا أنزَلنَا عَلَى قَومِهِ مِن بَعدِهِ مِن جُندٍ مِّنَ السَّمَاء وَمَا كُنَّا مُنزِلينَ* إن كَانَت إلا صَيحَةً وَاحِدَةً فَإذَا هُم خَامِدونَ* يا حَسرَةً عَلَى العِبَادِ مَا يأتيهم مِّن رَّسولٍ إلا كَانوا بِهِ يَستَهزِؤون* ألَم يَرَوا كَم أهلَكنَا قَبلَهُم مِّن القُرونِ أنَّهُم إلَيهِم لا يَرجِعونَ* وَإن كُلٌّ لَّمَّا جَميعٌ لَّدَينَا مُحضَرونَ* وَآيَةٌ لَّهُمُ الأرضُ المَيتَةُ أحيَينَاهَا وَأخرَجنَا مِنهَا حَبّاً فَمِنهُ يا كُلونَ* وَجَعَلنَا فيهَا جَنَّاتٍ مِن نَّخيلٍ وَأعنَابٍ وَفَجَّرنَا فيهَا مِن العُيونِ* ليأكُلوا مِن ثَمَرِهِ وَمَا عَمِلَتهُ أيديهِم أفَلَا يَشكُرونَ* سُبحَانَ الَّذي خَلَقَ الأزوَاجَ كُلَّهَا مِمَّا تُنبِتُ الأرضُ وَمِن أنفُسِهِم وَمِمَّا لَا يَعلَمونَ* وَآيَةٌ لَّهُم اللَّيلُ نَسلَخُ مِنهُ النَّهَارَ فَإذَا هُم مُّظلِمونَ* وَالشَّمسُ تَجري لِمُستَقَرٍّ لَّهَا ذَلِكَ تَقديرُ العَزيزِ العَليمِ* وَالقَمَرَ قَدَّرنَاهُ مَنَازِلَ حَتَّى عَادَ كَالعُرجونِ القَديمِ* لَا الشَّمسُ يَنبَغي لَهَا أن تُدرِكَ القَمَرَ وَلَا اللَّيلُ سَابِقُ النَّهَارِ وَكُلٌّ في فَلَكٍ يَسبَحونَ* وَآيَةٌ لَّهُم أنَّا حَمَلنَا ذُرّيَّتَهُم في الفُلكِ المَشحونِ* وَخَلَقنَا لَهُم مِّن مِّثلِهِ مَا يَركَبونَ* وَإن نَّشَأ نُغرِقهُم فَلَا صَريخَ لَهُم وَلَا هُم يُنقَذونَ* إلَّا رَحمَةً مِّنَّا وَمَتَاعاً إلَى حينٍ* وَإذَا قيلَ لَهُمُ اتَّقوا مَا بَينَ أيديكُم وَمَا خَلفَكُم لَعَلَّكُم تُرحَمونَ* وَمَا تَأتيهِم مِّن آيَةٍ مِّن آياتِ رَبِّهِم إلَّا كَانوا عَنهَا مُعرِضينَ* وَإذَا قيلَ لَهُم أنفِقوا مِمَّا رَزَقَكُم الله قَالَ الَّذينَ كَفَروا لِلَّذينَ آمَنوا أنُطعِمُ مَن لَّو يَشَاء الله أطعَمَهُ إن أنتُم إلَّا في ضَلَالٍ مُّبينٍ* وَيَقولونَ مَتَى هَذَا الوَعدُ إن كُنتُم صَادِقينَ* مَا يَنظُرونَ إلَّا صَيحَةً وَاحِدَةً تَأخُذُهُم وَهُم يَخِصِّمونَ* فَلَا يَستَطيعونَ تَوصيَةً وَلَا إلَى أهلِهِم يَرجِعونَ* وَنُفِخَ في الصّورِ فَإذَا هُم مِّنَ الأجدَاثِ إلَى رَبِّهِم يَنسِلونَ* قَالوا يا وَيلَنَا مَن بَعَثَنَا مِن مَّرقَدِنَا هَذَا مَا وَعَدَ الرَّحمَنُ وَصَدَقَ المُرسَلونَ* إن كَانَت إلَّا صَيحَةً وَاحِدَةً فَإذَا هُم جَميعٌ لَّدَينَا مُحضَرونَ* فَاليَومَ لَا تُظلَمُ نَفسٌ شَيئاً وَلَا تُجزَونَ إلَّا مَا كُنتُم تَعمَلونَ* إنَّ أصحَابَ الجَنَّةِ اليَومَ في شُغُلٍ فَاكِهونَ* هُم وَأزوَاجُهُم في ظِلَالٍ عَلَى الأرَائِكِ مُتَّكِئونَ* لَهُم فيهَا فَاكِهَةٌ وَلَهُم مَّا يَدَّعونَ* سَلَامٌ قَولاً مِن رَّبٍّ رَّحيمٍ* وَامتَازوا اليَومَ أيُّهَا المُجرِمونَ* ألَم أعهَد إلَيكُم يا بَني آدَمَ أن لَّا تَعبُدوا الشَّيطَانَ إنَّهُ لَكُم عَدوٌّ مُّبينٌ* وَأن اعبُدوني هَذَا صِرَاطٌ مُّستَقيمٌ* وَلَقَد أضَلَّ مِنكُم جِبِلّاً كَثيراً أفَلَم تَكونوا تَعقِلونَ* هَذِهِ جَهَنَّمُ الَّتي كُنتُم توعَدونَ* اصلَوهَا اليَومَ بِمَا كُنتُم تَكفُرونَ* اليَومَ نَختِمُ عَلَى أفوَاهِهِم وَتُكَلِّمُنَا أيديهِم وَتَشهَدُ أرجُلُهُم بِمَا كَانوا يَكسِبونَ* وَلَو نَشَاء لَطَمَسنَا عَلَى أعيُنِهِم فَاستَبَقوا الصِّرَاطَ فَأنَّى يُبصِرونَ* وَلَو نَشَاء لَمَسَخنَاهُم عَلَى مَكَانَتِهِم فَمَا استَطَاعوا مُضياً وَلَا يَرجِعونَ* وَمَن نُعَمِّرهُ نُنَكِّسهُ في الخَلقِ أفَلَا يَعقِلونَ* وَمَا عَلَّمنَاهُ الشِّعرَ وَمَا يَنبَغي لَهُ إن هُوَ إلَّا ذِكرٌ وَقُرآنٌ مُّبينٌ* ليُنذِرَ مَن كَانَ حَيا وَيَحِقَّ القَولُ عَلَى الكَافِرينَ* أوَلَم يَرَوا أنَّا خَلَقنَا لَهُم مِمَّا عَمِلَت أيدينَا أنعَاماً فَهُم لَهَا مَالِكونَ* وَذَلَّلنَاهَا لَهُم فَمِنهَا رَكوبُهُم وَمِنهَا يا كُلونَ* وَلَهُم فيهَا مَنَافِعُ وَمَشَارِبُ أفَلَا يَشكُرونَ* وَاتَّخَذوا مِن دونِ الله آلِهَةً لَعَلَّهُم يُنصَرونَ* لَا يَستَطيعونَ نَصرَهُم وَهُم لَهُم جُندٌ مُّحضَرونَ* فَلَا يَحزُنكَ قَولُهُم إنَّا نَعلَمُ مَا يُسِرّونَ وَمَا يُعلِنونَ* أوَلَم يَرَ الإنسَانُ أنَّا خَلَقنَاهُ مِن نُّطفَةٍ فَإذَا هُوَ خَصيمٌ مُّبينٌ* وَضَرَبَ لَنَا مَثَلاً وَنَسيَ خَلقَهُ قَالَ مَن يُحيي العِظَامَ وَهيَ رَميمٌ* قُل يُحييهَا الَّذي أنشَأهَا أوَّلَ مرّة وَهُوَ بِكُلِّ خَلقٍ عَليمٌ* الَّذي جَعَلَ لَكُم مِّنَ الشَّجَرِ الأخضَرِ نَاراً فَإذَا أنتُم مِّنهُ توقِدونَ* أوَلَيسَ الَّذي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالأرضَ بِقَادِرٍ عَلَى أن يَخلُقَ مِثلَهُم بَلَى وَهُوَ الخَلَّاقُ العَليمُ* إنَّمَا أمرُهُ إذَا أرَادَ شَيئاً أن يَقولَ لَهُ كُن فَيَكونُ* فَسُبحَانَ الَّذي بيَدِهِ مَلَكوتُ كُلِّ شَيءٍ وَإلَيهِ تُرجَعونَ.
Tujiulize tunamapenzi ya kumpenda Mtume S. A.W. W kiasi gani katika nyoyo zetu?na tukipata majibu hayo ndipo tutafahamu wajibu wetu ni upi kwa mola Mtukufu kwaajili ya Mtume S. A.W. W na kulingana na darja ya Mapenzi yetu kwake Mtume S. A.W. W ndo tutaweza kumtii nakufuata wasia wake wakufuata kitabu cha Mwenyezi Mungu Na Kizazi Chake.
Tuesday, 22 December 2015
Nimaskitiko Makubwa kwa Matukio Yanayoendelea Leo Duniani Ya Umwagaji Wa Damu Za Watu Wasio Na Hatia.
matano, 23 Disemba 2015 06:28
Waislamu wa Kenya wazuia kuuliwa abiria wenzao wa Kikristo na wanamgambo wa al Shabab

Abiria wa Kiislamu waliiokuwa wakisafiri kwa basi na wenzao wa Kikristo huko Kenya wamezuia kuuliwa wenzao katika shambulio la wanamgambo wa al Shabab.
Abiria Waislamu waliokuwa ndani ya basi huko Kenya wamekataa kutii amri ya wanamgambo walioshambulia basi hilo ili kuwatambua abiria wa dini ya Kikristo waliokuwa wakisafiri pamoja na Waislamu hao. Shambulio hilo lilijiri Jumatatu wiki hii katika kaunti ya Mandera kaskazini mashariki mwa Kenya, wakati watu waliokuwa na silaha wanaosadikiwa kuwa na uhusiano na kundi la al Shabab la Somalia walipolifyatulia risasi basi hilo lililokuwa na abiria 60 na kuua watu wawili.
Abdi Mohamud Abdi abiria Muislamu aliyekuwa miongoni mwa watu waliokuwamo ndani ya basi hilo amesema kuwa, wanamgambo kumi waliiingia ndani ya basi hiyo na kuwataka abiria wa Kiislamu kujitenga na wale wa Kikristo, hata hivyo abiria Waislamu walikataa kutii amri ya wanamgambo hao. Baadhi ya Waislamu ndani ya basi hilo walitoa hijabu zao na kuwapatia wale wasio Waislamu ili kuwasaidia kuficha utambulisho wao wakati basi liliposimama. Itakumbukwa kuwa, mwaka jana wanamgambo wa al Shabab waliokuwa na silaha waliwaua raia wasio Waislamu karibu 30 waliokuwa wakisafari kwa basi katika eneo hilo hilo.
Usimamizi Mzuri wa Majukumu Ni Siri Ya Ufanisi.
Serikali yafuta ‘semina elekezi’ kwa madiwani
http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/4638-serikali-yafuta-semina-elekezi-kwa-madiwani
Jumanne, 22 Disemba 2015 18:56
Algeria kuzidisha usimamizi wa uchapishaji Qur'ani

Wizara ya Biashara ya Algeria imetoa amri ya kuzidishwa usimamizi katika uchapishaji wa nakala za Kitabu kitakatifu cha Mwenyezi, Qur'ani, nchini humo.
Shirika la Kimataifa la Habari za Quran (IQNA) limeripoti kwamba, Wizara ya Biashara ya Algeria imetoa agizo hilo baada ya kusambazwa nakala za Qur'ani zilizopotoshwa ambazo baadhi zimepotoshwa katika mpangilio wa sura zake na nyingine sura zake hazikukamilika au zimechapishwa nusu.
Agizo hilo limetolewa kwa Kituo cha Usimamizi wa Viwango cha Idara Biashara ya mkoa wa Muaskar huko kaskazini magharibi mwa Algeria. Kituo hicho kimetakiwa kusimamia na kudhibiti uchapishaji na uuzaji wa nakala za Qur'ani Tukufu.
Tayari maafisa wa mkoa huo wameanza mikakati ya kusimamia uchapishaji wa vitabu vya kidini hususan nakala za Qur'ani Tukufu.
Makosa hayo ya chapa ya nakala za Qur'ani Tukufu yanashuhudiwa zaidi katika nakala zilizochapishwa na taasisi za watu binafsi na kusambazwa masokoni.
Matangazo Yaliyopita
Jumanne, 22 Disemba 2015 19:22
Wabunge na Maseneta wa Burundi wapinga kutumwa wasimamizi wa amani wa AU

Bunge la Burundi limepinga mpango wa Umoja wa Afrika wa kutaka kutuma kikosi cha kusimamia amani katika nchi hiyo inayokabiliwa na mgogoro wa kisiasa.
Pascal Nyabenda Spika wa Bunge la Burundi sanjari na kuashiria kwamba, hakujatokea mauaji ya kimbari katika nchi hiyo amebainisha kuwa, hakuna udharura wa kutumwa kikosi cha Umoja wa Afrika nchini humo. Kwa upande wake Reverien Ndikuriyo, Spika wa Baraza la Seneti la Burundi amesisitiza juu ya tofauti baina ya mauaji na mauaji ya kimbari. Wabunge na wawakilishi wa Baraza la Seneti ambao walikutana siku ya Jumatatu katika kikao kilichowakutanisha pamoja wameitaka serikali ifanye kila iwezalo kukomesha mauaji yanayoshuhudiwa nchini humo ili izuie njama zinazofanywa za kutaka kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo. Ijumaa iliyopita Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika llilipitisha uamuzi wa kutumwa kikosi cha askari elfu tano nchini Burundi na likaipatia serikali ya Bujumbura muda wa siku saba kuamua kama imeafikiana na uamuzi huo. Kabla ya hatua hiyo ya Bunge na Baraza la Seneti, msemaj wa ofisi ya Rais alikuwa ametoa radiamali yake kuhusiana na uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kutaka kutuma kikosi cha kusimamia amani Burundi na na kutangaza kuwa, endapo AU itatuma kikosi hicho na kupuuza upinzani wa serikali kwa hatua hiyo, vikosi hivyo vitahesabiwa kuwa ni majeshi vamizi.
Hata kama wimbi la mauaji nchini Burundi linashuhudiwa kwa miezi kadhaa sasa, lakini mashambulio ya hivi karibuni ya wapinzani dhidi ya vituo vitatu vya kijeshi ambayo yalipelekea kutokea mapigano na watu 90 kuuawa, ni tukio ambalo liliitumbukiza nchi hiyo katika hatua nyingine mpya. Katika hali ambayo viongozi wa serikali wanadai kuwa, vitendo vyovyote vya utumiaji mabavu vya vikosi vya usalama vinafanyika katika fremu ya kurejesha amani na usalama, wapinzani wanasema kuwa, hatua hizo ni za ulipizaji kisasi dhidi yao na lengo lake ni kuwauwa wapinzani wa serikali.
Katika hali ambayo, weledi wengi wa masuala ya kisiasa wanatahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya ndani na kuanza mauaji mengine ya kimbari nchini Burundi, Umoja wa Afrika umetangaza kuwa hautaruhusu kuanza tena vita na kutokea mauaji mengine ya kimbari barani humo. Huku mgogoro wa Burundi ukishadidi kuna taarifa kwamba, duru nyingine ya mazungumzo ya amani inatarajiwa kufanyika hivi karibuni nchini humo. Crispus Kiyonga Waziri wa Ulinzi wa Uganda ambaye nchi yake ni mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mgogoro wa Burundi alitangaza hivi karibuni kwamba, njia bora kabisa katika mazingira ya hivi sasa ambapo hali ya usalama inazidi kudorora nchini humo ni kuanza tena mazungumzo kwa minajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo. Kiyonga amesema, viongozi wa kikaumu wana mambo kumi ambayo wanataka yatiwe katika ajenda ya mazungumzo ya tarehe 28 Desemba. Miongoni mwa mambo hayo ni duru ya tatu ya uongozi wa Rais Pierre Nkurunziza, jedwali la uchaguzi, hali ya usalama pamoja na serikali ya umoja wa kitaifa. Takwimu za Umoja wa Mataifa zinaonesha kuwa, zaidi ya watu 240 wameuawa huku wengine zaidi ya laki 2 wakilazimika kuyakimbia makazi yao, kutokana na kushadidi wimbi la mchafukoge nchini Burundi,tangu Aprili mwaka huu, baada ya chama tawala CNDD-FDD kumuidhinisha Rais Pierre Nkurunziza kugombea urais kwa muhula wa tatu mfululizo. Wapinzani nchini Burundi wanasema kuwa, hatua ya Nkurunziza ya kugombea kiti cha Urais katika uchaguzi uliopita ilikuwa kinyume na katiba pamoja na mkataba wa amani wa Arusha Tanzania. Hapana shaka kuwa, ili kuiepusha Burundi isitumbukie katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kuna haja ya kuchukuliwa hatua za haraka na za maana za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

Matangazo Yaliyopita
Jumanne, 22 Disemba 2015 18:55
Iran, mbeba bendera ya amani na vita dhidi ya ugaidi

Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni mbeba bendera ya amani na ya kupambana na ugaidi. Rais Hassan Rouhani ameyasema hayo leo mbele ya wakuu, washauri na wafanyakazi wa Wizara ya Usalama wa Taifa.
Amesema amani, utulivu na uthabiti uliopo nchini ni matunda ya juhudi na kujitolea mhanga kwa watu wenye uchungu wa nchi na akasisitiza juu ya ulazima wa kudumishwa umoja na kuendelezwa harakati ya kufikia malengo matukufu ya Mapinduzi ya Kiislamu.
Rais Rouhani amesema, katika anga ya machafuko na ukosefu wa amani iliyopo katika eneo la Mashariki ya Kati, amani na usalama unaoshuhudiwa nchini Iran ni wa kupigiwa mfano.
Huku akibainisha kuwa amani na utulivu uliopo nchini ni wa kujivunia duniani, na kwamba viongozi wa nchi nyingi wanalieleza hilo katika mazungumzio na viongozi wa Iran, Dakta Hassan Rouhani amesema kuna
Sunday, 20 December 2015
Sunday, 13 December 2015
Wednesday, 9 December 2015
السلام عليك يا رسول الله Masiku haya yanayokuja nimasiku Adhimu kutokana na uzito wakuondokewa na kipenzi cha wanadamu bila kujali Rangi Dini Wala kabila si mwingine bali ni huruma kwa walimwengu wote mkamilifu wa tabia njema hana mfanowe katika ulimwengu mkombozi wa wanyonge Bahari ya Uadilifu Mji Wa Elimu Mlezi wa Wajane na mayatima Mtetezi mkuuu wa Haki za Binaadamu Si Mwingine Bali nimtume wetu S A W W mkombozi wa viumbe wote katika kila sehemu na kila zama, tunatakiwa kuhuzunika tarehe 28 mwezi wa swafar
Tuesday, 8 December 2015
Friday, 4 December 2015
Thursday, 3 December 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)